Watu waliozaliwa tarehe 29 Februari huwa na mvuto fulani kwa sisi - yaani, karibu sisi sote - ambao siku zao za kuzaliwa huja mara moja kwa mwaka. Wanapojiandaa kusherehekea siku yao ya kuzaliwa kwa ...
Kalenda zetu zinaonyesha Februari kama siku moja zaidi kila baada ya miaka 4. Mwaka 2024 ni moja ya miaka hiyo. Mwaka huu, wale waliozaliwa leo, Februari 29, wataweza kusherehekea siku yao ya kuzaliwa ...
Afrika ina uwezo wa kuandaa Michezo yake ya kwanza kabisa ya Jumuiya ya Madola katika siku zijazo, kulingana na afisa mmoja anayehusika katika kuandaa tukio hilo la kila baada ya miaka minne. Michezo ...
Dada wanne kutoka jimbo la South Dandian huko Kerala ambako walizaliwa siku moja, wameishi maisha yao yote pamoja katika nyumba moja na kula chakula cha aina moja huku wakiwa wanavaa nguo sare na hata ...
Sherehe za Eid (Eid al-Fitr) zimeanza leo katika maeneo na nchi mbalimbali duniani. Nchi nyingi za kiislam ikiwemo Saud Arabia zimeanza sherehe za Eid leo. Nchini Afghanistan, Eid imeadhimishwa ...
Siku mia moja zimepita tangu vita vilipozuka asubuhi ya Februari 28, 2026, na mashambulizi ya wakati mmoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran; vita vilivyolenga uongozi wa juu wa Jamhuri hiyo ya ...