Shirika la chakula duniani WFP limetangaza mpango wa kutumia teknolojia katika kuwezesha ukulima katika majimbo kame nchini Kenya. WFP inasema kilimo ndiyo suluhu katika upungufu wa chakula kote ...