All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Azam
TV Sports Live
Azam
TV Sports
Azam
TV Max Live
Azam
TV Live
Azam
TV App
Azm TV
Azam
TV News
Azam
TV 2 Live
Azam
TV Packages
Azam
TV Channels
Azam
Two-Channel
Azam
TV
Azam
Live
Azam
Max
Azamtv Kenya
DStv
Azam
Crystal Azam
TV
Azamtv Max
Yaara
Azam
TV Tanzania
Azam
TV Uganda
Azamtv Rwanda
Granadina Y
Media Granaina
Megamix Media
Naranja
Corte Media
Melena 2021
Cortes Y Color Media Melena
Paco Pena
Media Granainas
Musical Jibara Puerca
Media
Azam
News
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
Azam
TV Sports Live
Azam
TV Sports
Azam
TV Max Live
Azam
TV Live
Azam
TV App
Azm TV
Azam
TV News
Azam
TV 2 Live
Azam
TV Packages
Azam
TV Channels
Azam
Two-Channel
Azam
TV
Azam
Live
Azam
Max
Azamtv Kenya
DStv
Azam
Crystal Azam
TV
Azamtv Max
Yaara
Azam
TV Tanzania
Azam
TV Uganda
Azamtv Rwanda
Granadina Y
Media Granaina
Megamix Media
Naranja
Corte Media
Melena 2021
Cortes Y Color Media Melena
Paco Pena
Media Granainas
Musical Jibara Puerca
Media
Azam
News
Mughal E Azam
Movie Free
Azam
Channel
Azam
Two Live
Azam
TV Movies
Azam
Sports
Babar Azam
Home Practic
Azam
TV Live Football
Quaid E Azam
Day Dance
Babar Azam
Funny Videos with Team
Azam
Ali
Azam
TV Rwanda Live
Mughal E Azam
Full Movie Online
Azam
Live Stream
Babar Azam
Real Life
Mughal E
Azam Film
Mughal E Azam
Full Movie HD
Baber Azam
Highlights
Babar Azam
Net
Live Cricket Pakistan
Gausul
Azam
5:28
Miaka 10 ya Azam Media Limited, kupitia chapa yake ya #AzamTV imeshuhudia mapinduzi makubwa ya uwekezaji wa miundombinu na teknolojia ya kurusha matangazo ya televisheni. Ni Miaka 10 iliyoshuhudia mapinduzi katika nyanja za michezo, burudani na habari. Na sasa, mambo yanakwenda kuwa makubwa zaidi baada ya Azam Media kusimika minara 21 nchi nzima ya kurusha matangazo ya ardhini (DTT). #UzinduziMinara #UzinduziDTT #10DaimaDamDam | Azam TV
17.2K views
May 19, 2023
Facebook
Azam TV
2:08
Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Azam Media LTD Divisheni ya Maudhui na Utangazaji, Yahya Mohamed, amesema maboresho makubwa yaliyofanywa kwenye program tumizi ya AzamTV Max ni kuifanya kuwa bora na kumpa mtazamaji hadhi ya kimataifa kupitia vipindi, filamu na michezo mbalimbali vinavyopatikana kwenye AzamTV Max #MaxItUp. Kwa kufanya hivyo, Azam TV inalenga kuimarisha nafasi yake katika soko la burudani na kuendelea kutoa huduma za kisasa zinazokidhi mahitaji ya watazamaji wa kizazi cha sasa. #AzamTVUp
1.9K views
9 months ago
Facebook
Azam TV
Azam Media Ltd (Azam TV) | LinkedIn
Sep 5, 2017
linkedin.com
3:19
Baba mzazi wa Afisa Mtendaji Mkuu mstaafu wa Azam Media Limited, Tido Mhando leo ametimiza miaka 100 na ameungana na familia yake kwa misa maalum iliyofanyika katika Kanisa la Anglikana Temeke, Dar es Salaam. #AzamTVUpdates Wahariri | Sabina Ntobi, John Mbalamwezi | Azam TV
704.5K views
Aug 28, 2024
Facebook
Azam TV
2:01
Kampuni ya Azam Media Ltd imepewa tuzo maalum na Serikali ya kuitambua kuwa kampuni inayotoa kubwa ya mafunzo kwa vitendo (field and internship) kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu nchini. Akikabidhi tuzo hiyo, Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Mahusiano, Rahma Riyadh Kisuo amezitaka kampuni nyingine kote nchini kuiga mfano wa Azam Media Limited katika utoaji wa fursa hizo ili kuweza kujenga uwezo wa wanafunzi kwa ajili ya soko la ajira. Mhariri @moseskwindi | Azam TV
2.6K views
4 months ago
Facebook
Azam TV
2:44
Mwandishi wa habari mwandamizi wa Azam Media Limited, Rahab Fred Fungo amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam wakati akiendelea kupatiwa matibabu. Marehemu Rahabu ambaye alikuwa mwandishi wa habari na mtangazaji mahiri alianza kupata umaarufu akiwa kampuni ya Sahara Media Group kwenye kituo cha Redio Free Africa. Hadi umauti unamfika marehemu Rahabu alikuwa ni mhariri mkuu msaidizi wa habari na matukio wa Azam TV. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
108.9K views
Apr 5, 2025
Facebook
Azam TV
3:10
Wafanyakazi wa Azam Media Limited wamejitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la uchangiaji wa damu salama, lengo ikiwa ni kusaidia kuokoa maisha ya watu wenye mahitaji kwenye hospitali na vituo mbalimbali vya afya hapa nchini. Katika uchangiaji huo, jumla ya chupa 33 za damu zimepatikana ambazo, kwa mujibu wa wataalamu, zinaweza kuokoa maisha ya watu takriban 100. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi | Azam TV
1.5K views
3 months ago
Facebook
Azam TV
3:25
Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Azam Media LTD Divisheni ya Maudhui na Utangazaji, Yahya Mohamed amesema tuzo ya @samiakalamuawards imetoa chachu kwa Azam Media kujitanua na kufanya vizuri zaidi kitaifa na kimataifa, na kwamba watanzania wajiandae kwa ‘surprise’ kubwa inayokuja miezi michache ijayo…itakayodhihirisha ubora na viwango vya juu vya Azam Media katika kutoa burudani kwa kila Mtanzania. Ameyasema hayo leo katika mahojiano maalum baada ya kampuni ya #AzamMedia kushinda tuzo ya @samiakalamuawa
1.6K views
May 6, 2025
Facebook
Azam TV
3:14
Kampuni ya Azam Media Limited imeingia makubaliano pacha na Kampuni ya Haier kupitia GSM ambapo wamezindua huduma ya upatikanaji wa TV janja kwa bei nafuu ambazo zinajumuisha kisimbuzi cha antena sambamba na kifurushi cha mwezi mmoja cha shilingi 25,000. Hafla ya makubaliano hayo imefanyika jijini Dar es Salaam, na kwamba huduma ya upatikanaji wa TV janja hizo zitakuwa zikiuzwa katika maduka yote ya Azam na GSM. (Imehaririwa na John Mbalamwezi) #AzamTVUPdates | Azam TV
8.9K views
Sep 21, 2023
Facebook
Azam TV
5:32
Mwili wa aliyekuwa Meneja Mwandamizi wa Uzalishaji wa Vipindi Azam Media Limited, Happiness Sedoyeka umezikwa katika makaburi ya Kondo Ununio Dar es Salaam baada ya ibada iliyofanyika mchana katika Kanisa la Bikira Maria Mama wa Fatima Parokia ya Msimbazi. Happiness alifikwa na umauti Julai nane mwaka huu wakati akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Motor Neurone uliokuwa ukimsumbua. Huu ndiyo wasifu wa Happiness Sedoyeka. #AzamTVUpdates | Azam TV
50.2K views
Jul 12, 2023
Facebook
Azam TV
1:03
Azam Media Limited kwa kushirikiana na The Islamic Foundation tunakuletea KONGAMANO LA AMANI litakalofanyika Zanzibar na Dar es Salaam. Mwaliko huu hapa ukitolewa na Sheikh Arif Nahed, Mwenyekiti wa The Islamic Foundation. Disemba 31, 2024 itakuwa Masjid Jamia Zinjibar - Zanzibar, tarehe 2 Januari 2025 itakuwa Diamond Jubilee - Dar es Salaam na kilele kitakuwa tarehe 5 Januari 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar es Salaam. HAKUNA GHARAMA ZA KIINGILIO - NI BURE!! | Azam TV
2.3K views
Dec 29, 2024
Facebook
Azam TV
4:51
Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa ushindi Azam Media Limited katika kesi ya madai ya haki miliki iliyofunguliwa na bondia Amosi Mwamakula. Awali, Mahakama ya Kinondoni iliiamuru Azam Media Limited kumlipa bondia huyo kiasi cha shilingi milioni 250, baada ya kudai kuwa kampuni hiyo ilichukua wazo lake la kipindi cha "Boxing Kazi Kazi" kinachohusu masuala ya ndondi na kukitumia kwa jina la "Vitasa". Hata hivyo, Mahakama Kuu baada ya kusikiliza shauri hilo imeipa ushindi Azam Media Limited kwa kuzing
20K views
1 year ago
Facebook
Azam TV
3:06
Mamia ya watu wamefurika Ofisi za Azam Media Ltd zilizopo Tazara jijini Dar es Salaam kuchangamkia punguzo la bei ya kisimbuzi cha antena kinachouzwa shilingi 49, 000 na kisicho na antena shilingi 39, 000, ikiwa leo ni siku ya mwisho ya promosheni iliyodumu kwa miezi miwili. (Imehaririwa na John Mbalamwezi) #AzamTVUpdates | Azam TV
63.6K views
Sep 30, 2023
Facebook
Azam TV
2:14
Wateja wengi wa Azam Media Limited wamekuwa wakipata huduma za visimbuzi kupitia maduka ya mawakala kote nchini. Lakini wakala wa Mkoa wa Dodoma anayetambulika kwa jina la Kilimanjaro Square ameibuka na ubunifu mpya ambapo anatembea na gari inayowafuata wateja walipo. Ubunifu wake huo una lengo la kuwasaidia wateja wa Dodoma na mikoa ya jirani ambako gari hili litaweza kufika na kuwapatia huduma za haraka. #AzamTVUpdates Wahariri: Onike Masayanyika, John Mbalamwezi | Azam TV
10.1K views
Feb 12, 2024
Facebook
Azam TV
0:37
Word from CEO of Azam Media Limited - Commercial Division, Sabrina Mohamedali as the World Celebrates the International Women's Day @sabrina.mohamedali | Azam TV
5.3K views
Mar 8, 2023
Facebook
Azam TV
1:01
🔴AZAM TV LIVESTREAM HD🔴 (How to watch it)
1.9K views
4 months ago
YouTube
¿COMO?
54:51
LIVE - TAARIFA YA HABARI - AZAM TV 21/3/2023
6.1K views
Mar 21, 2023
YouTube
Azam TV
35:09
LIVE - HABARI AZAM TV
168.3K views
Mar 21, 2019
YouTube
Azam TV
52:48
LIVE - TAARIFA YA HABARI - AZAM TV
26.2K views
Apr 14, 2023
YouTube
Azam TV
0:10
Welcome to azamTV
495.9K views
May 9, 2014
YouTube
Azam TV
58:16
LIVE | TAARIFA YA HABARI - AZAM TV 14/08/2023
5.7K views
Aug 14, 2023
YouTube
Azam TV
24:26
LIVE | HABARI WIKIENDI - AZAM TV 13/08/2023
4.3K views
Aug 13, 2023
YouTube
Azam TV
1:02
App Mpya ya Azam TV
32.9K views
Apr 16, 2019
YouTube
Azam TV
1:15:14
MAONGEZI YA ANA KWA ANA KATI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA TIDO MHANDO
800.3K views
May 4, 2022
YouTube
Azam TV
5:01
BABAR AZAM SIXES OVER THE YEARS 🤩🙌 | #SportsCentral
101.1K views
Jan 3, 2024
YouTube
Sports Central by DRM
1:18
Makonda aimwagia sifa Azam Media akiwa bungeni
257 views
2 weeks ago
YouTube
Azam TV
1:34
Azam Swati Leaked Video | PTI Leader Shocking Revelations | Breaking News
113.6K views
Nov 5, 2022
YouTube
BOL News
21:00
Simba SC 4-1 Mbeya City | Highlights | VPL 22/06/2021
1.6M views
Jun 23, 2021
YouTube
Azam TV
1:14:55
🔴 YANGA SC vs AZAM FC LIVE LEO - LIGI KUU BARA - UWANJA WA BENJAMIN MKAPA
16.1K views
Oct 30, 2021
YouTube
Sports HD
4:24
WASIM AKRAM LATEST ON BABAR AZAM WON PSL 11 TROPHY 🏆 TODAY | PZ VS HKY | PAK MEDIA REACTION
663 views
2 weeks ago
YouTube
Top Breaking news
See more
More like this
Feedback